Breaking News

KONGAMANO LA PILI LA TANESCO NI ZAIDI YA MTOKO


Washiriki Mbalimbali  wa Kongamano la Pili la Wanawake wa TANESCO Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme  wakizungumza juu ya ushiriki wao katika kongamano hilo na manufaa makubwa waliyoyapata katika ushiriki wao kwenye kongamano hilo