Breaking News

MAAFISA RASILIMALI WATU TANESCO WAPONGEZWA KWA UTULIVU MAHALA PA KAZI

 

Ni katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa hao

Wasisitizwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya utendaji kazi