Breaking News

Diwani wa kata ya minazi mirefu MH Malisa. Alipokutana na diwani ya kata ya ilala MH sady khimji wakipeana.

 



Dar ex Salaam

Juni 17, 2025 Diwani kata ya minazi mirefu MH Malisa. Alipokutana na diwani ya kata ya ilala MH sady khimji  wakipeana mikono yapongezi kwa kazi kubwa walizozifanya kwenye kata zao , wakati kikao cha Madiwani Ukumbi wa Karimjee jiji Dar es Salaam.