Breaking News

HANSPAUL GROUP YAPATA TUZO NNE PMAYA 2026

 

Waziri wa VIWANDA Mh.Judith Salvio Kapinga. Akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi WA HANSPAUL GROUP JIJINI Dar es salaam jana.Picha na Niccomedia 



Na Mwandishi wetu Dar es salaam 

Kampuni ya Hanspaul Group imefanikiwa kupata tuzo nne katika hafla ya 19 ya President’s Manufacturer of the Year Awards (PMAYA), iliyoratibiwa na Confederation of Tanzania Industries (CTI), leo Septemba 3, 2026, jijini Dar es Salaam.

HANSPAUL GROUP YAPATA TUZO NNE PMAYA 2026

Waziri wa Viwanda, Mh. Judith Salvio Kapinga, akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Hanspaul Group, jijini Dar es Salaam. Picha na Nicomedia.

Kampuni ya Hanspaul Group imefanikiwa kupata tuzo nne katika hafla ya 19 ya President’s Manufacturer of the Year Awards (PMAYA), iliyoratibiwa na Confederation of Tanzania Industries (CTI), Septemba 3, 2026, jijini Dar es Salaam.

Hanspaul Group imepata tuzo hizo katika makundi manne ambayo ni DSH, HIL, HAL na EMOTION, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa kampuni hiyo katika sekta ya viwanda nchini.

PMAYA ni miongoni mwa tuzo muhimu katika sekta ya viwanda nchini, zinazolenga kutambua, kuhamasisha na kuenzi ubora, ubunifu, ushindani na mchango wa wazalishaji katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania.