Breaking News

MUME WA RAIS SAMIA AAGA DUNIA

 

Mume wa Rais Samia aaga Dunia

Mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Bw.Hafidh Ameir Hassan ameaga dunia hii leo tarehe 07 Septemba, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hii leo na Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, Bw. Hafidh alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya kumbukumbu ya Emilio Mzena visiwani Zanzibar.

Bw. Hafidh alikuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo, ambapo aliaga dunia majira ya saa mbili asubuhi.

Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika Kizimkazi Zanzibar.