Mstahiki Meya Temeke kumuunga mkono Rais Dkt Samia
Mstahiki meya wa halmashauri ya manispaa ya Temeke Uzairu Athumani amehudhuria kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa matank ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam- Kigamboni iliyofanyika March 3,2026 ambapo Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ndio anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
Katika hatua nyingine hafla hiyo ni miongoni mwa utekelezaji wa ahadi ya serikali ya awamu ya sita walizoziahidi.
Sanjari na hilo CCM Wilaya ya Temeke nao wameenda kumuunga mkono Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo
