Breaking News

 

Mgombea Urais kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Chama hicho Samia Suluhu Hassan katikati akiwa na Katibu Mkuu wa CCM daktari Asharose Migilo kulia na Doto Mashaka Biteko ambaye ni mgombea nafasi ya ubunge kupitia chama hicho aliekaa upande wa Kushoto wakifurahia jambo kwenye uwanja wa Nyawilimilwa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.