Breaking News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025.

Rais Samia akizungumza mara baada ya kumuapisha Jaji George Mcheche.

Dodoma, Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye hafla ya uapisho wa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Jaji George Mcheche Masaju, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025