Mjumbe wa kamati ya ushindi ya chama cha mapinduzi UWT katika mikoa ya nyanda za juu kusini ambaye pia ni mbunge mstaafu Mhe.Sophia Mwakagenda jana Sept.19.2025 ameendelea na ziara katika kata ya Itaka kwa kumnadi Diwani wa kata hiyo Mhe.Allan Mgulla katika kutafuta kura za Rais, Wabunge na madiwani katika mikoa ya Njombe, Mbeya na Songwe ikiwa ni ziara zake za kuanzia Vitongoji kata hadi jimbo ili kukipa ushindi chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.