Mjumbe wa kamati ya Uchumi Mipango Uwekezaji na Fedha wa Jumuiya ya Wazazi(CCM) Taifa Mhe.Dkt.John Kahemele akiwa katika muendelezo wa mikutano ya kampeni kuzitafuta kura jimboni Ubungo jijini Dar es salaam ili kukipatia ushindi chama hicho kwa nafasi za Udiwani Ubunge na Urais tarehe 29 Okt.2025.