Breaking News

MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA MKOANI SINGIDA


Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Iramba katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Singida tarehe 10 Septemba, 2025.