Breaking News

Tano Mwera ajitosa ubunge jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam


Dar es Salaam

Amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge katika  wilaya ya Temeke mkoa Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Zoezi la urudishaji wa fomu linaendelea katika ofisi ya wilaya ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) bado linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti tofauti wameendelea kujitokeza kwa nafasi ya ubunge na udiwani.