Ngeleja achukua fomu ya Ubunge Sengerema / Mhandisi Robert Gabrie naye achukua fomu ya Ubunge Geita Kumtoa Kanyasu..
William Mganga Ngeleja aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Sengerema mwaka 2005 hadi 2020 ametia nia ya Ubunge jimbo la sengerema kupitia CCM ,Ngeleja amewahi kuwa waziri wa madini na nishati
William Mganga Ngeleja baada ya wananchi kufunga njia wakati akirudi kutoka kuchukua fomu wakimshinikiza asalimiane nao hatua iliyomlazimu kushuka ndani ya gari lake na kusallimiana nao kwa madai nidhamu na uwajibikaji bado wanaukumbuka
Wakili Malogoi achukua fomu tena jimbo la Geita* mjiniDkt Busanda Lucas Busanda mtia nia ubunge jimbo la Busanda wilayani Geita kupitia Chama cha mapinduz
*Mhandisi Robert Gabriel achukua fomu kumtoa Kanyasu Geita Mjini*
Mhandisi Gabriel Luhumbi Robert mkuu,wa mkoa mstaafu ametia nia nae ubunge jimbo la Geita mjini kupitia chama cha mapinduzi

Mfanyabiashara wa madini Evarist E. Gervas achukua fomu jimbo la Busanda*





