Israel yaishambulia Iran kwa makombora, yenyewe yaahidi kulipiza kisasi
Taharuki imetanda mashariki ya kati kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel katika mji mkuu wa Iran, Tehran, Ijumaa asubuhi. Milipuko mikubwa ilisikika kote Tehran, huku Israel ikitangaza kuwa imelenga maeneo ya nyuklia na vituo vya kijeshi.
Mashambulizi haya yanakuja wakati mvutano kati ya nchi hizo mbili umefikia kiwango cha juu kabisa kufuatia maendeleo ya haraka ya mpango wa nyuklia wa Tehran.
Mashambulizi hayo pia yalipiga mji wa Kermanshah magharibi mwa Iran, ambapo wakazi walisema walisikia milipuko na kuona moshi mweusi ukipanda juu ya jiji. Haikubainika mara moja ni nini hasa kililengwa. Milipuko pia ilisikika karibu na mji wa Tabriz nchini Iran, ingawa hali halisi huko bado haijawa wazi.

Iran Yaahidi kulipiza kisasi huku maafisa wakuu wakiripotiwa kuuawa
Kufuatia mashambulizi hayo, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, Ijumaa aliahidi kuwa Israel itakabiliwa na "adhabu kali" kutokana na mashambulizi yake dhidi ya nchi hiyo. Khamenei alitoa taarifa iliyotangazwa na shirika la habari la serikali la IRNA, ambayo pia ilithibitisha kuwa maafisa wakuu wa kijeshi na wanasayansi wameuawa katikashambulizi hilo.
"Israel imefungua mkono wake mbaya na wenye damu kutenda uhalifu dhidi ya nchi yetu pendwa, ikifunua asili yake mbaya zaidi kuliko hapo awali kwa kushambulia makazi," Khamenei alisema, akisisitiza ukali wa kit

.jpeg)