Breaking News

ONGERA MAIDA WAZIRI KWA KUPATA TUZO YA MAISHA MALKIA WA NGUVU April 4, 2025 alikua fundi Charahani







Dar es Salaam. April 4, 2025

Ongera kwa kupata Tuzo ya Maisha Malkia wa nguvu, Maida Waziri ni Mkurugenzi wa kampuni ya Ukandarasi IBRA Afrika na Mwenyekiti wa sautu ya Wajasiriamali Tanzania (VOWET).

Maida waziri anastahili kipata tuzo ya Maisha (Malkia wa nguvu)alikua fundi charahani, Uvuvi na baadae alianza kushona siti za magari na kupata mafanikio makubwa hadi kuanzisha kampuni ya Ukandarasi .

Ametoa wito kwa wanawake kujiamini na  kuamua kufanya biashara watafanikiwa, hakuna kitu kinashindika Dunian.