DKT. JUDITH MHINA MALKIA WA NGUVU 2025 PIA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA PMM Estates Group
Dar es Salaam, April 4, 2025
Ongera Dit. Judith I Mhina kwa kuchukua Tuzo ya Malkia wa nguvu sekta ya biashara Business Archievement mwaka 2025 Dad es Salaam.
Judith Mhina ni Malkia wa nguvu pia ni Mkurugenzi wa makampuni ya PMM Estates Group
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
