TUZO ZA MAKAMPUNI BORA 100 ZA WAVUTIA WAWEKEZAJI KUKUZA UCHUMI TANZANIA
Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati),
Asema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora Kuvutia Uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzannia.
Waziri Shariff aliyasema hayo wakati akishiriki hafla ya utoaji tuzo hizo zilizofanyika mnamo Tarehe 21 Novemba 2025 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es salaam.


