*RAIS SAMIA ALIVYOPIGA PICHA YA 'SELFIE' NA WANANCHI WA KIBAIGWA*.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na maelfu ya Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo August 30,2025.
Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja #kaziiendelee




