MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TAASISI YA MOYO JKCI MDAHALO WA ELIMU YA MATIBABU UTALIIVTAREHE 15/08/2025
Mdahalo wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwetwe JKCI kwa lengo la kutoa Elimu kwa Umma ukiendelea leo katika Ukumbi wa Chuo KIKUU Cha Dar es Salaam (UDSM)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekaleghe kushoto, kulia ni Dkt. Peter Kisenge
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekaleghe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mdahalo wa Matibabu utalii katika Ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa JKCI wakipokea mauwa kwa ishara ya Taasisi hiyo kufanya VIZURI.
Balozi John Ulanga Mkurugenzi wa Diplomasia Uchumi, Wizara ya Mambo ya Nje ya ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza katika Mdahalo huo Ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Wanafunzi kutoka katika Shule mbalimbali wakifuatilia Mdahalo huo katika
Ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.





