Breaking News

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YA TANZANIA GEORGE MASAJU HAWA JAJI WA MHAKAMA KUU YA TANZANIA

Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.

Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma kuanzia saa 4.00 asubuhi.
Kabla ya uteuzi huo, Jaji Masaju aliwahi kushika nafasi mbali mbali iliwemo Mwanasheria mkuu wa Serikali.
Pia, aliwahi kuwa mshauri wa masuala ya kisheria mkuu wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete.