Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.
RAIS SAMIA AKUTANA NA WAJUMBE WA UWEKEZAJI ZANZIBAR (ZEEA)
Reviewed by NICCOMEDIA TZ
on
March 26, 2025
Rating: 5