Breaking News

NAIBU WAZORI MKUU MH. DOTO BITEKO ATOA NENO LA MWAKA MPYA 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akihutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za kuupokea Mwaka Mpya wa 2025. Sherehe hizo zimefanyika Januari 1, 2025 nyumbani kwa Mhe. Doto Biteko Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita


Sehemu ya Wananchi waliojitokeza kwenye shamrashamra za kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2025 wakisoma Jarida la Bukombe "Kusema na Kutenda". Hafla hiyo imefanyika Januari 1, 2025 katika Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita